
Seven Visions were unveiled to the President, Pastor Justice Lutashobya by 2005 in 40 days fasting prayer, for to fulfill the assigments he was given. In 2006 September pastor Justice organised the launching conference to share these visions with 150 partners of the gospel.
UFUNGUO WA KUSOMA BIBLIA
VITABU VYA AGANO JIPYA
A. UTANGULIZI:
1. Kuna tofauti kati Agano la Kale na Agano jipya
- Agano la Kale lilifanyika pasipo kiapo cha Mungu Baba [Waebrania 7:20]
- Agano la Kale lilizuiliwa na mauti ya makuhani waliolifanya. Agano.Jipya Kuhani wake YESU KRISTO anaishi milele [ Waebrani 7:24]
- Agano la kale lilifanyika kwa damu za wanyama ( kondoo, mbuzi na ndama). Lakini Agano Jipya limefanyika kwa DAMU YA YESU [Mwanadamu Kristo Yesu] [ Waebrania 9: 12-21]
- Agano la kale ni sheria inayotuonyesha Dhambi. Agano Jipya linatoa suluhisho ya dhambi [ WOKOVU], Yohana 3:6
- Agano la kale ni linatuonyesha HUKUMU ya dhambi, lakini Agano.Jipya linatuonyesha NEEMA NA REHEMA ambayo iko juu ya sheria ya hukumu.
- Agano
la kale lina vitabu 39 na Agano Jipya lina vitabu 27
2. Biblia ni kitabu cha Agano la Kwanza na la Pili chenye jumla ya maagano saba pamoja na agano jipya.
- Agano
la Edeni [ Edenic Covenant]
- Agano
la Adamu [ Adamic Covenant]
- Agano
la Nuhu [ Noahamic Covenant]
- Agano
la Musa [ Mosaic Covenant]
- Agano
la Ibrahimu [Ibrahimic Covenant]
- Agano
la Daudi [ Davidic Covenant
- Agano
Jipya [New Covenant]
3. Agano lolote lina lina nguvu na kuna shehemu kuu tatu katika kila Agano kati
ya Mungu na Mwanadamu na kati Mwanadamu na Mwadamu. Mkataba
wowote unahusu sehemu kuu mbili za Mkataba. Sehemu kuu tatu za Agano ni
B.AHADI, MASHARTI NA MUHURI [ PROMISE, CONDITIONS AND SEAL]:
4. Biblia ni kitabu cha Miujiza, kipo duniani kwa ushuhuda na kitakuwepo
milele, na UJUMBE MKUU KATIKA BIBLIA NI WOKOVU.
5. Hatua za kusoma Biblia ni hizi:
- OMBA Roho Mtakatifu akufunulie, akufundishe, akushauri na akukumbushe Neno la Mungu kabla ya kufungua Biblia.
- FUNGUA, SOMA NA CHUNGUZA Biblia kwa uongozi wa Roho Mtakatifu.
- TAFAKARI, TAFSIRI NA TAFUTA MAANA, itunze akilini. Download Here!