Get Adobe Flash player


Seven Visions were unveiled to the President, Pastor Justice Lutashobya by 2005 in 40 days fasting prayer, for to fulfill the assigments he was given. In 2006 September pastor Justice organised the launching conference to share these visions with 150 partners of the gospel. 


Maombi ya hatari (Prayer Manual)

Maombi ya hatari ndiyo ni sahihi. Kichwa cha habari kinaogopesha katika mtazamo wa kwanza, lakini maelezo yake ni matamu, naamini matamu kuliko asali. Huwezi kueeleza kwa undani maana ya maombi ya hatari mpaka utakapokua unafanya. Haya ni maombi ambayo ulimwengu mzima umekuwa ukiyatamani, kila mtoto wa Mungu anapaswa kuomba haya ili kuweza kumweka shetani pamoja na mapepo yake kule wanakostahili.
Download Here

Mkutano wa maombi December 2009

Mkutano mkuu wa maombi wa WMMC hufanyika kila mwaka mwezi December. Ajenda za maombi huandaliwa kulingana na huduma zitakazofanyika mwaka unaofuata. Mwaka 2009 mkutano huu ulifanyika Mbezi-Prayer house na hizi ndizo zilizokuwa ajenda za mkutano.
Download Here