Get Adobe Flash player


1. Maombi ya Mapinduzi

.. Maombi ya mapinduzi kitabu kinachokupa nguvu za kufanya mapinduzi ya kivita kiroho dhidi ya maadui zako wa maisha na uchumi kwa habari ya familia yako, serikali yako na taifa lako. Kitakuwesha kupindua roho za kipepo zinazokula maisha taratibu, kisha upandishe bendera ya ushindi.

Download This Book Now



2. Maombi ya Maombi ya Tetemeko

...Mchungaji Justice Lutashobya amekupa silaha ya vita katika maisha ya ko kiroho. Tetemeko la maombi linakuja Tanzania kufanya mapinduzi ya kiroho ndani ya nchi ya Tanzania ili kuliandaa Taifa na kanisa kwa aili ya KURUDI KWA YESU MARA YA PILI.

Download This Book Now



3. Maombi ya Kufunga

... Katika kitabu hiki, Mchungaji Lutashobya anatoa hakikisho na matokeo yake kuhusu njia za kufunga, na jinsi ya kufungua; kwa sababu palipo na kufunga kuna kufungua pia. Katika maombi ya kufunga kuna mambo tunayofungulia na kuna mambo tunayafunga; kuna milango tunafunga na kuna milango tunaifungua; kuna roho tunafunga na kuna roho tunafungulia; kuna kazi tunafungua na kuna kazi tunafunga.

Download This Book Now